NJIA KUU YA KABALA YA KUITA MAJINI KWA HARAKA NA URAHISI
ZAIDI
NA KUPATA CHOCHOTE UKITAKACHO KUTOKA KWA JINI
Kama jinsi ilivyokuwa kwa Masharti ambayo yameshaelezwa hapo
kabla juu ya kujitakasa na mengineyo; namna ya kumuita Jini Mwenye Nguvu za
Ajabu Kwa kutumia Njia Kuu ya KABALA ni kama ifuatavyo:-
Kwanza kabisa unatakiwa uwe na nia thabiti na ya kweli, uwe
Msafi pamoja na mambo mengine kwani usipokuwa hivyo utakapomuita badala ya wewe
kuwa na nguvu kubwa za kumdhibiti huyo Jini, yeye ndie ataweza kukudhibiti kwa
kuwa hukufuata maelekezo ya kujitakasa kwanza.
Iwapo utaelewa hayo; basi yaliyobaki ni rahisi sana:-
Unatakiwa umpate Kuku Mweusi ambae hajawahi kamwe kupandwa
na Jogoo. Na unapomkamata uhakikishe ya kuwa hapigi kelele (halii kwa sauti
kubwa); hivyo ni bora zaidi kama utaweza kumkamata akiwa kwenye usingizi, huku
ukimkamata shingo yake ila usitumie nguvu za ziada sana katika kumzuia asipige
kelele.
Baada ya hapo unatakiwa uende moja kwa moja hadi njia kuu na
utembee hadi hapo utakapoikuta NJIA PANDA. Ukifika hapo subiri na mara
itakapofika Usiku wa manane (Saa Sita Kamili usiku), itapofika saa hiyo
unatakiwa Uchore Duara kwa kutumia Fimbo ya Mti wa Mvinje.
Baada ya Kuchora Duara hilo, unatakiwa uingie katikati ya
Duara hilo ulilolichora, na Unatakiwa Umgawanye Kuku huyo katika Vipande viwili
vinavyolingana na wakati ukifanya hivyo unatakiwa uwe unasema maneno haya mara
TATU (3) :..
“ELOIM, ESSAIM, FRUGATIVI ET APPELLAVI”.
Baada ya kusema hayo, Geukia Upande wa Mashariki, Piga
magoti alafu sema Sala yako alafu malizia kwa kulitaja Jina lake; ambalo ni
...“ROFOCALE”.
Wakati huo Jini atakutokea;
· Akiwa amevalia Koti refu lililodariziwa, lenye Rangi
nyekundu,
· Fulana ya ndani ya Rangi ya Njano,
· Suruali yenye rangi ya Kijani isiyokolea.
· Fulana ya ndani ya Rangi ya Njano,
· Suruali yenye rangi ya Kijani isiyokolea.
· Kichwa chake kitakuwa kinafanana na kile cha Mbwa,
· Lakini Masikio yake yatakuwa yanafana na yale ya Punda,
· Kichwani atakuwa na Mapembe mawili,
· Atakuwa na Miguu na Kwato zinazofanana na za Ndama.
Atakuambia umuamrishe unalolihitaji akufanyie, ambapo na
wewe unatakiwa useme yale yote ambayo unayataka kwa kadri itakavyokupendeza
wewe mwenyewe.
Na kwa sababu ukiwa ndani ya hilo Duara ulilolichora, HAWEZI
kukudhuru na hatakuwa na njia nyingine ya kufanya ila kufanya chochote kile
utakachomuagiza, basi ujue ya kuwa utafanikiwa kupata mambo mengi yote
utakayoyaagiza na utafanikiwa kuwa Tajiri PAPO HAPO, na utapata mafanikio na
furaha kubwa Maishani mwako
Kwa mengi zaidi PIGA +254740637248
CALL - +254740637248
WEBSITE - WWW.MUGWENUDOCTORS.COM
PHYSICAL LOCATION - MAJENGO, VIHIGA COUNTY
WORKING HOURS - MONDAY - FRIDAY 9AM - 6PM
Loading...
Post a Comment