0
70% of Kenyans are into illegal businesses.People have been conned of their money and properties in the name of DEALS!!! ukiona mtu ako connected na Nigerians.be very careful.

kuna dame tulikua tunajuana kitambo,then we bumped to each other at the Junction.i was with my hubby and kids so we couldn't talk.we exchanged contacts.akakuwa akitaka tumeet sana..she could call me like 5times in a day hata zingine sikuwa nashika.

siku moja nikampigia nikamwambia tu meet YAYA cos it was closer to our apartment.kufika hapo napata ako na chali Fulani.akaniambia ni fiancé wake.from Nigeria.i suggested we look for a coffee shop as we catch up! i was uneasy the whole time.

Bill ikakuja nikatoa credit card nilipe nayo.halafu that guy akaanza kuniambia ati vile wako into business and i should join them too.i told him siwezi cos I'm rarely in Kenya.akaniambia wewe ndio hata mpoa ukiwa majuu cos utatusaidia sana through walami.so nikajua this lady has already told him about me.😏😏i told him I'm not interested.
saa hiyo dame anashikashika credit card yangu na huku fiancé mwitu anani confuse na story tu.but i was very Alert.i took my credit card back.

nikaambia huyo dame narudi kwa nyumba cos ya watoi.akasema twende pamoja akawasalimie i refused.our apartment was a walking distance but nilichukua taxi ndio wasijue ile place nakaa.

hata taxi driver alinotice how scared i was.nikamwambia asiende straight kwa apartment azunguke kidogo.

so,after kitu 1yr ndio nikasikia walishikwa she's in langata prison cos yakushikwa na ATM Cards Mwitu.

I heard huwa wanapiga picha kwa Credit Cards za watu then wana withdraw all your money..Kenya iliharibika the moment Nigerians walianza kusaidiwa na Kenyan women.I hear the name Nigeria I run like lightening.

The Kenyan DAILY POST
Loading...

Post a Comment

 
Top