UHURU KENYATTA invited by DONALD TRUMP to Washington DC! Will be hosted by TRUMP in the White House
Editor's Choice, News, Other Political News, Politics 08:43
US President Donald Trump will host President Uhuru Kenyatta
at the White House on August 27.
Here is a communique from the White House
Here is also a statement from State House’s Spokesperson, Kanze
Dena
Mheshimiwa Rais Uhuru Kenyatta kwa mwaliko wa
Rais Donald Trump atatembelea nchi ya
Marekani kwa ziara rasmi mnamo tarehe 26 Agosti mwaka huu.
Mkutano wa viongozi hao wawili unalenga kukuza uhusiano
bora kati ya Kenya na Marekani, hasa katika kuimarisha ushirikiano
katika nyanja muhimu kama vile usalama, biashara na uekezaji na ushirikiano
baina ya watu wa nchi hizi mbili.